Ujenzi & Ufundi 0 Maombi

Ufungaji wa Umeme — Nyumba Mpya Mbezi Beach

Mbezi Beach, Dar es Salaam
Iliyotumwa tokea miezi 2
Muda: wiki 2

Maelezo Kamili ya Kazi

Nyumba mpya ya ghorofa 2 inahitaji ufungaji kamili wa umeme: taa, vituo vya umeme, paneli kuu, na wiring. Karibu chumba 8. Eneo: Mbezi Beach. Vifaa ni vya mwenye kazi, fundi aje na ujuzi na zana tu.

Ujuzi Unahitajika

Umeme
Bei thabiti

TZS 1,200,000 – 2,000,000

Tuma kabla ya 1 Aprili 2026

Kuhusu Muajiri

Fatuma Ngozi

Amethibitishwa

Malipo yote yanalindwa na Winga Escrow. Usilipe nje ya mfumo huu.

Ingia Katika Akaunti

Ili kutuma maombi ya kazi hii, tafadhali ingia.