Maelezo Kamili ya Kazi
Watoto wangu wawili (darasa 5 na 7) wanahitaji mwalimu wa Kiingereza mara 3 kwa wiki. Masomo nyumbani kwetu, Mikocheni A. Saa 2 kwa siku. Ninahitaji mtu mwenye subira na uzoefu wa kufundisha watoto.