Maelezo Kamili ya Kazi
Ninahitaji msaidizi wa nyumbani kwa wiki 1 kufanya usafi wa kina wa nyumba nzima na kuandaa chakula cha mchana na usiku. Nyumba: vyumba 4. Eneo: Msasani, Dar es Salaam. Chakula ni cha kawaida cha Kitanzania.