Burudani & Matukio 7 Maombi

MC wa Kitaalamu kwa Sherehe ya Ndoa — Desemba 2026

Dar es Salaam
Iliyotumwa tokea miezi 2
Muda: siku 1

Maelezo Kamili ya Kazi

Ninahitaji MC mzuri wa Kiswahili kwa sherehe ya ndoa itakayofanyika Desemba 2026 Dar es Salaam. Wageni takriban 300. Sherehe itakuwa ya kisasa na ya Kitanzania. Tafadhali tuma video za kazi zako za awali.
Bei thabiti

TZS 500,000 – 1,000,000

Tuma kabla ya 1 Aprili 2026

Kuhusu Muajiri

Fatuma Ngozi

Amethibitishwa

Malipo yote yanalindwa na Winga Escrow. Usilipe nje ya mfumo huu.

Ingia Katika Akaunti

Ili kutuma maombi ya kazi hii, tafadhali ingia.