Maelezo Kamili ya Kazi
Biashara yangu ya vyakula inahitaji mtu wa kusimamia Instagram, Facebook, na TikTok. Angalau machapisho 5 kwa wiki, kujibu macomment, na kutoa ripoti ya mwezi. Una uzoefu wa kufanya biashara za vyakula kukua mtandaoni?