Maelezo Kamili ya Kazi
Duka langu linatumia mfumo wa POS (Point of Sale) unaohitaji marekebisho ya haraka: kuongeza bidhaa mpya, kutengeneza ripoti za mauzo, na kurekebisha bug ndogo. Mfumo ni wa Windows, built na Python.
Ujuzi Unahitajika
Python
Database