Maelezo Kamili ya Kazi
Kampuni yangu mpya ya ushauri wa biashara (MH Consulting) inahitaji logo nzuri, rangi za brand, na mwongozo wa matumizi. Ninapenda logo ya kisasa na ya kitaalamu. Tafadhali toa mifano 3 na bei ya jumla.
Ujuzi Unahitajika
Photoshop
Illustrator
Logo Design